TANGAZA NASI HAPA (ADVERTISE WITH US CONTACT 0757768555, 0717396699, 0785829399)

TANGAZA NASI HAPA (ADVERTISE WITH US CONTACT 0757768555, 0717396699, 0785829399).

JIFUNZE JINSI YA KUHESABU MZUNGUKO WA HEDHI

JINSI YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA JINSI YA KUJUA SIKU YAKO YA HATARI YA KUPATA MIMBA.
Na. Dr. Magope
Siku za hatari za mwanamke ni zipi?
Hizi ni siku ambazo mwanamke akishiriki ngono bila kutumia kinga anapata ujauzito bila wasiwasi wowote labda kama ana matatizo yanayomfanya asibebe mimba au mwanaume wake ana matatizo.
Utazijuaje siku hizo?
Kwanza kabisa ili ujue siku zako za hatari lazima ujue idadi ya siku za mzunguko wako. Kuna aina tatu za mzunguko, mzunguko mrefu ambao unachukua siku 35, mzunguko mfupi unaochukua siku 25 na ule wa kawaida unaochukua siku 28 na ndio mzunguko ambao watu wengi wanao.
Unajuaje mzunguko wako?
Hesabu siku tangu siku ile ya kwanza uliyoona siku zako za hedhi mpaka siku moja kabla ya kuona siku zako za hedhi zinazofuata. Unashauriwa uchukue miezi mitatu mpaka sita ukihesabu ili ue na uhakika kwamba mzunguko wa tarehe zako haubadiliki, kama umeshahesabu siku za nyuma kabla ya kusoma makala hii ni vizuri pia. Mfano umeanza kuona siku zako tarehe moja mwezi wa nne alafu ziko zako zingine ukaziona tarehe 29 mwezi wa nne, chukua 29 toa 1 utapata 28, maana yake wewe unamzunguko wa siku 28.
Je siku za hatari ni zipi?
Siku ya hatari ni siku ya 14 kabla ya kuona hedhi inayofuata na sio siku ya 14 baada ya kuona hedhi iliyopita na hapa ndio watu wengi wanachanganya na kupata mimba.
Mfano kama mzunguko wako ni siku wa kawaida siku 28, chukua 28 toa 14 utapata 14. Hivyo siku yako ya hatari ni siku ya 14, lakini kwa kua mbegu ya kiume inaweza kuishi mpaka masaa 72 wastani wa siku tatu na yai la kike linaweza kuishi mpaka masaa 24 ndani ya mfuko wa uzazi basi siku nne kabla na siku moja baada ya siku ya 14 ni hatari hivyo siku za hatari ni ni siku ya 10,11,12,13,14 na 15.
Kama mzunguko wako ni mrefu labda siku 36 basi chukua 36 toa 14 utapata 22. Hivyo siku ya 22 ni hatari na zingine ni 18,19,20,21,22 na 23.
Kama mzunguko wako ni mfupi, mfano mzunguko wa siku 21, sasa ukichukua 21 ukatoa 14 unapata 7 yaani siku ya saba ni hatari kwa huyu mtu.hivyo siku zingine za hatari ni 3,4,5,6,7[mtoto wa kiume] na 8.
Dalili kwamba uko kwenye siku za hatari ni zipi?
Kuongezeka kwa joto kidogo, tumbo kuuma kidogo, na ute mweupe kutoka sehemu za siri.
JINSI YA KUHESABU SIKU ZA HATARI ZA KUSHIKA MIMBA
Naomba ieleweke kwamba wanawake wametofautiana kwa asilimia kubwa sana ktika mzunguko wao wa bleed hivyo kwa utangulizi tuu kuwa makini na jinsi unavyoanza bleed ili iweze kukusaidia katika kuhesabu kwako siku za hatari .Na si kulinganisha siku ambayo labda ulianza sawa na rafiki yako.
Mfano: umeanza kubleed tarehe 9 / 7/2017 kwa hiyo chukua daftari na andika na hesabu moja. hesabu kuanzia hapo mpaka utakapo fika 16 na ujue siku ya kumi na sita itaangukia tarehe ngapi? utakuja kuona siku ya 16 inaangukia tarehe 24/7/2017 hivyo bleed inayofuata itaanza tarehe 25/7/2017. hivyo hivyo utaanza kuhesabu kutoka tarehe 25/7/2017 mpaka kumi na sita na utakuja kungundua kuwa siku ya kumi na sita itakuwa ni tarehe 9/8/2017. hivyo inatakiwa uanze kubleed tarehe 10/8/2017. hivyo utakuwa unahesabu vivyo kila mwezi.
Hivyo basi wanawake wanaobleed kwa siku 18 au chini ya hapo huwa wana matatizo hivyo wanatakiwa waende kumuona daktari kwani kitaalamu sio sahihi. Kwahiyo ikitokea mke wako anableed kwa mzunguko wa siku 18 MPELEKE hospitali akapate ushari.
HIVYO BASI SIKU SALAMA NI BAADA YA DAMU KUKATA UNAWEZA KUANZA KUMTUMIA MAMA LAKINI IKIFIKA SIKU YA KUMI NA TATU YAI HUWA LIKO YATARI NA HUANZA KUSHUKA. KIPINDI HIKI MAMA HUTOKWA NA UTE MZITO WA KUNATA AMBAO HUWA NI DAWA KWA AJILI YA KULINDA NA KUTENGENEZA MJI WA MIMBA KUWA TAYARI KUPOKEA MBEGU ZA KIUME KWA AJIRI YA URUTUBISHO .HIVYO MBEGU ZA BABA HUWEZA HUSAFIRI KWA URAHISI ZAIDI KATIKA MAJI MAJI HAYA.
NA KWA MWANAMAMA ANAYECHUKUA SIKU 30 UKIHESABU KUANZIA 30 KURUDI NYUMA UTAGUNDUA KUWA SIKU YA 14 NI TAREHE 25/7
HIVYO SIKU YA HATARI NI TAREHE 24/7 NA KWA SABABU YAI HUKAA SIKU TATU HIVYO TAREHE 23,24, NA 25/7 /2017 AMBAZO NI SAWA NA SIKU YA 16, 17, NA 17 KATIKA KUHESABU CYCLE
YULE WA SIKU THELATHINI NA MBILI ITAKIWA SIKU YA HATARI NI YA 18 NA SIKU ZAKE TATU ZA HATARI NI 17, 18 NA 19 AMBAZO TAREHE 25,26,27/JULY KAMA SIKU ZAKE ZA HATARI.......

CONTACT:
 0717396699
  0757768555

No comments

Powered by Blogger.