KIJANA JIAJIRI NA TAJIRIKA KUPITIA UFUGAJI WA KUKU
UAMUZI WAKO NDIO MAFANIKIO YAKO
UAMUZI WAKO UNA NAFASI KUBWA YA
KUKUBADILISHA KUWA TAJIRI AU MASKINI.
Kijana unanunua na kumiliki Laptop yenye
thamani ya Tsh. 500,000/=, Unamiliki Techno
Phantom ya 500,000/=, Unamiliki na vitu vingine
vya aina hiyo halafu unalia na kulalamika kuwa
maisha ni magumu!!!
Ni yupi wa kulaumiwa kati ya wewe binafsi,
Mungu, Mzazi, Serikali, Ndugu, Jamaa na
Marafiki????
‘‘KIJANA JIAJIRI KUPITIA UFUGAJI WA KUKU''
Ukianza na mitetea 10 tu (kuku wa asili) baada
ya miezi 3 utakuwa na kuku wasiopungua 100,
baada ya miezi 9 utakuwa na kuku wasiopungua
1,000.
Katika hao kuku 1,000 tuseme kwa makadilio ya
chini kabisa utaokota mayai 500 kwa siku.
Mayai 500 zidisha mara bei ya shambani Tsh.
300/= kwa kila yai moja, utapata Tsh. 150,000/=
(laki moja na nusu) kwa siku, zidisha tena kwa
siku 30 utapata Tsh. 4,500,000/= (milioni nne na
nusu) kwa mwezi.
Gharama za uanzishaji na uendeshaji ni ndogo
mno hazifikii thamani ya hiyo smart phone
unayoimiliki,
BY Maulid Magope
No comments